Friday, April 30, 2010

barca yahaha kuitoa inter milan

mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-0 kwa barcelona kushinda katika uwanja wake wa nyumbani wa nou-camp umetosha kumvusha jose mourinho na kikosi chake hadi hatua ya fainali watakapocheza na fc bayern munchen ya ujerumani hiyo ni baada ya mechi ya awali inter milin kushinda kwa mabao 3-0 katika  uwanja wa giussepe meazza..!

Beckham kupewa lyrics na Snoop doggy

yule mkali wa mashairi katika muziki aina ya gangstar HIPHOP ameamua kumpa shavu nene kijana ambaye anasukuma ndinga katika timu ya Los angeles galaxy lakini sasa yuko kwa mkopo katika timu ya Ac millan ya italia David Beckham kwa kumwambia atamsaidia kutunga mashairi pale ambapo Becks atahitaji kuanza kutunga mashairi..snoop ameyasema hayo wakati wakitengeneza tangazo la adidas...
ebana wabongo sasa hivi ni kama mbeleeeee...,.i mean mtoni kwa mjomba obama,yaani watu wana ji-burst na ma-tatto kila kona ya mwili as u can see hawa jamaa ni wa-tanzania waliojichora tatoo katika sehemu mbalimbali za miili yao..kama ndizo swagga zenyewe mpango mzima ni full wazeeeeeya..!

Tuesday, April 27, 2010

coconut fm kupata shavu nene.

kituo cha matangazo kilichopo zanzibar kinachojulikana kama coconut fm kinatimiza miaka mitano tangu kuanza kutoa huduma ya burudani.kituo hicho ni mshirika wa karibu wa kituo kingine cha clouds fm cha jijini Dar es saalam.katika birthday hiyo watapiga show wasani mbalimbali wakubwa na wasani wachanga katika kusherehesha shughuli hiyo..

kitu cha ki-scotish


ebana hii ni silaha kali ya ki-scotish inaitwa KINGDOM BATTLE BLADE

Saturday, April 24, 2010

GROUND LA WORLD CUP

                                 green point football ground..huu uwanja uko capetown na ukumbi wa bunge.

jamani hebu cheki mjengo huo wa kijanja

ebana kama wewe ni mjanja wa kiukweli hebu sema na hiyo picha,wewe kama mjanja unadhani huu mjengo unapatikana katika maeneo gani hapa nchini mwetu...halla nasi kupitia martinchizzle@gmail.com

kiwanja cha elli's park

ebana hilo ndio ground litakalo timka vumbi katika 2010 world cup huko south Africa..linakwenda ka jina la elli's park na ka ndani liko hivyo na hiyo milima ni pembeni ya ground hilo.

Group A headlines-WORLD CUP 2010

jibu hilo mazee

Should Fabio Capello call up Adam Johnson for England?

headlines za world cup 2010Latest World Cup HeadlinesRSS feeds * Low set for Ballack chat * Neville tipped for England spot * Green eyes England role * Platini dismisses French hopes * Gabby focused on Villa goal * Konchesky hopes for England call * England to face old foes * Essien admits WC fear * Ronaldinho - I'll win World Cup * Torres wants England showdown * Johnson - Hart's the man * Defoe backs King for England * Del Bosque backs Torres * News Archive * Sky Sportzine Trouble flared in Cape Town


msosi unapanda kweli


premier league romours

CHEKI NA RATIBA YA BARCLAYS PREMIER LEAGUE


Barclays Premier League
12:45 Man Utd vs Tottenham
15:00 Bolton vs Portsmouth
15:00 Hull vs Sunderland
15:00 West Ham vs Wigan
15:00 Wolverhampton vs Blackburn
17:30 Arsenal vs Man City

Friday, April 23, 2010


jinsi ilivvyokuwa siku ametimba nchini mwanamuziki kutoka nchini Nigeria J.martins katika ofisi za kampuni ya simu ya zain-Tanzania maeneo ya kijitonyama jijini Dar es saalam.

NMB YAWAKA MOTO



 moto ulizuka muda mfupi katika tawi la benki ya NMB samora umefanikiwa kudhibitiwa kabla ya kulete athari kubwa kwa watu na mali katika maeneo hayo.

hebu cheki na ROGER THAT-YOUNG MONEY

Quantcast

Thursday, April 22, 2010

MASHAIRI YA ROGER THAT BY YOUNG MONEY


Roger That lyrics
by Young Money

{Nicki}
I'm in the collard green 6, cornbread in the guts.
Got da Halloween kicks trick or treatin the clutch.
Come on nigga is you trickin or what?
Flo-fl-flow tighter than a d..k in the b..t.
Just hopped off da plane, came back from Vancouv'
Little white tee, some boobs, and bamboo.
White girls tell me, "hey Nicki, your camp rules.
Is that why you get more head than shampoos?"
Asalaamalaikum, no oink for me.
And I never let a D-boy boink for free.
'Cause its barbie bitch, you can join the wave.
I done penny, nickel, dimed, I done coined da phrase.
You couldn' beat me there if you had a Leer.
Indian-style court side wit a cavalier
VIP Roseau's you can have a beer.
'Cause honey when you gettin money you don't have a care.

Now r-roger that, r-r-roger that. R-roger that, r-r-r-roger that. R-roger that, r-r-roger that....................Roger.


{Tyga}

Young black Rico's.
Kill for da C notes.
But me though,
I jack son bitch Tito
She wanna play games,
But this is not bingo.
Monopoly I'm past "GO"
Gon' ahead and deep-throat.
4-chick Foursomes,
Skin colors mocha.
Sally and Sonia put the pussies on my Totem.
Pole.
Watt stroke 'em,
Strike it like bowlin.
Now open like you yawnin'.
Its 6 in the mornin.
Slee-Sleepin on me probably in a coffin.
I'm hotter than the end of fuckin' August,
I'm awesome.
I'm awesome. Repeat it to ya Grandma and Uncles, my Mothers
Tyga's no Dad but I'm the muhfucka.
My fucka's,
This the last supper.
Look, no hands,
I'm a bread cuffer.
I dont dare lover,
I'm a dare devil
I don't fear nothin'.
Muhfucka,
YOUNG MONEY!

Now roger that. Roger that. Ro-Roger that. Roger that. Fuck around and never get Roger back.

{Wayne}

(I'm goin' in!)

Fresh off the jet, sharper than Gillette.
The blunt still wet, so pass it like bread.
We sip side a mug, we call it upset.
Smoke more than 4 quarters, we call it sudden debt.
I'm a beast.
You a pet.
AK long neck.
Keith Sweat.
Weezy, muthafucka.
Capo in this bitch wit me.
Money talks and have a convo in this bitch wit me.
I'm mountain high Colorado in this bitch wit me.
Flow crazy. 730, you just 650.
20 bullets from the Chopper take the roof off.
Laughin to the bank,
I'm a goof ball.
It's YM.
And we at yo neck like a Violin.
It's our world.
We make it spin.
And y'all the prey..Amen.
Now roger that. Roger that. Where Roger at? I heard Rog' a Rat.
Fuc-Fuck around and never get Roger back.

NI KWA KIASI GANI GHANA IMEMMISI MICHAEL ESSIEN

kiungo wa kimataifa wa timu ya chelsea na Ghana amekosa karibia nusu ya msimu katika ligi kuu ya uingereza na ameshindwa kuiwakilisha timu yake ya taifa katika michezo mbalimbali lakini wachambuzi wa soka wanaangalia uimara wa sehemu ya kiungo katika timu ya taifa ya Ghana pasipo kuwepo na wazoefu kama michael essien,sulley muntari,lalley kingson na mkongwe stephen appiah..swali ni je,Ghana itaweza pasipo kuwa na wazoefu hawa..?

FERGUSON AKANUSHA KUSTAAFU

kocha wa timu ya manchester united ya England amekanusha uvumi uliokuwa umeenea kwa kusema kwamba hataondoka katika kikosi hicho mwishoni mwa msimu wa 2009/2010.hizo ni habari njema kwa ma-fans wa timu hiyo coz that he came along with manchester even in bad moment...!

Liverpool chaliii ...!

ebana wale mashabiki wa Liverpool" THE REDS" wameumia kw usiku wa jana soon baada mshambuliaji galacha kutoka timu ya Atletico d'madrid ya spain kufunga goli katika nusu fainali ya kwanza iliyochezwa katika jiji la madrid,spain kupitia kwa Diego Forlan..mashabiki wanaoaminika kuwa na mzuka wa Liverpool wanasikitishwa na mwenendo mbovu wa timu hiyolakini manager wa timu hiyo Rafael Benitez amewaambia watulie kwani Liverpool ni timu bora na watatinga katika hatua inayofuata.

LIONELL MESSI ASHINDWA KUFURUKUTA

mwanasoka bora kabisa kwa sasa katika dunia ya soka Lionel messi jumanne hii ameshindwa kabisa kuwanyanyua mashabiki wa timu yake ya Barcelona ilipokuwa inakipiga na Inter milan ya Italia katika dimba la Giussepe meazza.katika mechi hiyo iliyomalizika kwa wenyeji Inter milan kushinda kwa jumla ya mabao 3-1..magoli ya Inter milan yalifungwa na Diego milito,wesley sneijder na douglas maicon wakati bao la Barcelona liliwekwa kimiani na pedro rodreguez kiungo wa kimataifa wa spain

MSAALA MZITO KWA ROMA

mkaka anayekimbiza katika game na ji-songi lake la mr.president anyekwenda kwa jina la rythm of magical attraction(ROMA) kutoka katika jiji la Tanga,amekumbwa na mkasa wa kiukweli hadi kufikishwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi..
 jamaa anatuhumiwa kupita na LAPTOP ya mshikaji wake ambaye anapiga shule katika chuo kikuu cha Dar es saalam,
 lakini roma amekanusha tuhuma hizo na kudai kuwa yeye hana tabia kama hizo coz amelelewa katika mazingira yenye tabia pooa...hope utaumaliza msala bra na uendelee kusanua na ma-songi mengine kama hayo .......!

DULLY NAYE AKISANUA KILI MUSIC AWARDS

mwanamuziki dully sykes amefuata mkumbo wa wasani kibao ambao nao walitangaza kutoshiriki kabisa katika tuzo za kilimanjaro music awards zinazotarajiwa kufanyika mwezi wa 5 mwaka huu.
       hayo ameyasema alipokuwa akizungumza na kituo cha redio cha jijini Dar es saalam,,,so bra watz ur plan for the other awards that u have been elected as a nominee...?

Thursday, April 22, 2010

EBANA KITU CHA TANZANIA

hii ni bendera ya taifa la Tanzania

ebana umeyaona yaliyo msibu Gerald

ebana haya ni masahibu yaliyo mkumba msakata kabumbu anayekipiga na klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza Steven Gerald.....umeinyaka kwa mara ya kwanza kupitia hapahapa kwa wajanja.

VITA HATA KWA AK 47

INSU NI KU-FIGHT MWANZO MWISHO HADI HAYA MAISHA TUYAPATIE

Friday, April 16, 2010

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS

watanzania ile inshu yetu ya kuwatuza wasanii waliofanya pooa kwa kipindi chote cha mwaka 2009/2010 wanapata tuzo na mzigo utagongwa katika maeneo ya diamond jubillee na wasani watakao perform ni pamoja na wasanii wa ki-bongo wakipewa shavu nene na mwanamuziki kutoka maitaa ile kingstone-JAMAICA anayeitwa sean kingstone..so kee on voting 4ur favouritis artist through phones & e-mail...

Ebana niaaaaaaje watanzaaaania....!!!!


                                                                            martin

JUMA NATURE AUNDA CREW YAKE UPYA..

yule mkali wa mashairi kutoka kwa wale wakali wanaume walio halisi juma kassim kiroboto ameamua kulipangua chama lake hilo na kubakiza wasanii watano tu.hiyo ni baada ya kupata mdhamini ambayo ni kampuni inayoitwa DCL yenye makao yake nchini china.kampuni hiyo itahusika na kutafuta shows na matamasha mbalimbali nje na ndani ya nchi.wasani waliobaki ni pamoja na wafuatao.
1.JUMA NATURE
2.BABA LEVO
3.KG SON
4.DOLLO
5.JB wa MABAGA FRESH

MGODI WA GEITA WAFANYA MAMBO TENA

mgodi wa machimbo ya dhahabu wa GEITA GOLD MINE(G.G.M) umeua jumla ya wachimbaji wadogo wapatao 8.


Thursday, April 15, 2010

WATEJA WA VODACOM KUONGEA KWA SHILINGI 1

wateja wa vodacom sasa watapata fursa ya kuongea kwa nusu shilingi tu.hayo yamesemwa na mkurugenzi wa mahusiano na mawasiliano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya habari ndiyo hiyo ya kuongea kwa shillingi 1 kwa sekunde kwa wateja wa vodacom.

TID AWAKIMBIZA VIBAYA DUBLIN

ebana huyu jamaa kwa sasa yuko busy na shows za nje.England,Ireland na pande zingine kama hizo.hapa alikuwa Dublin akifanya mambo,kama vipi keep on rollin' with wajanja site 4 more issue & detailz.

Wednesday, April 14, 2010

KAT DELUNA KUACHIA NGOMA



mwanadadafada kat deluna kutoka katika label ya motown universal anatarajia kuachia ngoma ifikapo mwezi wa nne..hayo yamesemwa na viongozi kutoka katika label hiyo....!

fid q adondosha album

ebana hebu cheki na album ya fid q inayoitwa PROPAGANDA...ni kali ile mbaya wana..

BOB MARLEY DAY INAJONGEA...!


ile siku ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa katika kumuenzi yule REGGAE LEGENDS inawadia..marasta na wale mashabiki wake wana desturi ya kumuenzi BOB NESTA MARLEY kila wanapokumbuka tyme yake ya kufa..so let's roll together katika siku hiyo bana.

NAKAAYA AJITOSA KATIKA POLTICS.....

mwanadafada nakaaya sumari ameamua kufanya kweli kabisa baada ya kujitosa kwenye siasa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA).mwanadada huyo aliwahi kutamba na kibao chake kikali kilichojulikana kama mr.politician..ebana karibu saana mwanadada katika libeneke hili la siasa,ila usiwe kama yule mr.politian uliye muimba katika ji-songi lako.

mashetani wekunduuu wamekaa..!!

ebana mashabiki wenzangu wa MANCHESTER UNITED    poleni saana kwani STILL we are the champs....so far tumetolewa lakini tumelazimishwa kutoka na vibonde bayern munchen...msimu ujao ni wa moto kwa ma-haters wooote....& man utd fans dont give up bana...together we win.

Friday, April 2, 2010

BACK IN THE BUSSINESS....!!

niaje wana wa TANZANIA kama kawaida mwana wenu wa kijanja nime-back in da bussiness baada ya kitambo kirefu kuwa out 4 the tour bana...anyway PAMOJA...!!1