Monday, May 10, 2010

The last king of nyaluland-mike T

huyu jamaa ni kati wa maemc wa kiukweli katika game ya muziki wa kibongo...soon anadrop na jiwe linakwenda kwa jina la TJIIBE TUKIWEZA ameligongesha katika studio za B/Hitz & my key....ebana hebu tumpe sapoti ya ukweli THE LAST KING OF NYALULAND.

wanaume TMK wadrop Kenya

jamaa wa Temeke wame-drop nchini kenya ka matamasha matatu ya kiukweli ambayo wamepanga kuweka heshima kwa mashabiki wa kundi hilo kutoka nchini kenya...kundi hilo lina wasanii wanaofanya vizuri kunako game ya bongo flavour...mkono mmoja ya Chegge na Temba pamoja na mambo bado aliyoimba Chegge na laddy jay dee...

mkali kwanza arudi studio

jamaa anaitwa q-jay kutoka kwa wakali kwanza na siku si nyingi ameingiza kitu(wife) ndani...so jamaa ameamua ku-drop studio za mj records zilizoko masaki kwa ajili ya ku-record ngoma kwa jina la NAKUBAMBA chini ya prodyuza marco chaliii..so soon unadrop down na mkali kwanza huyooo.

Nas ft. Damian Marley - As We Are (Snippet) | Audio | Rap Basement

Nas ft. Damian Marley - As We Are (Snippet) | Audio | Rap Basement
ebana sorry 4 missing out the massive story from our site...tulikuwa out kwa matengenezo bt tume-back kwa fujo zote wazeeeeya...i think u guyz gonna enjoy coz site imeboreshwa na kuna hot news ambazo soon tutaza kuzidrop..kama niaje cheki na ngoma hiyo hapo ya Nas ft.Damian marley-As we ar....Enjooooy...!