Friday, September 14, 2012

ALEXANDER BUTTNER RASMI KUIWAKILISHA MANCHESTER UNITED KWA MARA YA KWANZA.

Alexander Buttner beki mpyaaa aliyesajiliwa na Manchester united ya England kutoka Vittese ya ligi kuu ya Uholanzi anaweza kuanza rasmi kuiwakilisha timu yake hiyo mpyaa watakapoivaa wigan athletic.. hii ni baada ya kocha wa timu hiyo ya old trafford kusema kuwa beki wake wa kushoto,Patrice Evra kacheza mechi nyingi na ni vizuri kupata mbadala wa kumpumzisha katika msimu huu..

No comments: