Friday, April 23, 2010

NI KWA KIASI GANI GHANA IMEMMISI MICHAEL ESSIEN

kiungo wa kimataifa wa timu ya chelsea na Ghana amekosa karibia nusu ya msimu katika ligi kuu ya uingereza na ameshindwa kuiwakilisha timu yake ya taifa katika michezo mbalimbali lakini wachambuzi wa soka wanaangalia uimara wa sehemu ya kiungo katika timu ya taifa ya Ghana pasipo kuwepo na wazoefu kama michael essien,sulley muntari,lalley kingson na mkongwe stephen appiah..swali ni je,Ghana itaweza pasipo kuwa na wazoefu hawa..?

No comments: