Sunday, May 2, 2010

TAIFA STARS YABANWA NA AMAVUBI

                                                                       
timu za Tanzania na Rwanda zimetoka sare ya kufungana 1-1 katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kushiriki katika mashindano ya CHAN

AY na FA waachia ngoma nyingine

wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Hamisi mwinjuma(FA) na Ambwene Yessaya(Ay) wameachia ngoma inayokwenda kwa jina la usije mjini..wame record kwa hermy B chini ya studio ya B.hitz record..so kama ni fans unaweza kutega sikio ili uipate ngoma hiyo..

Poll: nani mkali kati ya fid q na joh makini

Poll: nanu mkali kati ya juma nature na chegge

ROCK CITY IS ROOOOCKING

jijini mwanza a.k.a rock city abapo panasemekana kuwa ni miongoni mwa miji misafi zaidi nchini Tanzania...kama haujawahi kufika fanya mpango ufike uone fahari ya nci yako.

dondoka langa mtaani

Langa kileo ni mwanamuziki wa HIPHOP bongo na moja kati ya wasanii wa kiukweli..ana masongi kibao mtaani na sasa anakimbiza na song la gangster abalo liko hot vide-deadly,,soon amedondoka na song linalokwenda kwa jina la pesa akimpa shavu bi-dada jay dee..na sasa amendondoka na album mtaani chini ya label yake ya kitaa entertainment..!

flowers wa kibongo ni wa ukweli

mwanadafada huyu ni mmoja kati ya contestant wa miss universe 2010.so would ever thought of having beautifully ladies in our country like that one...thanks God...!!

rooney awahidi mema mashabiki wa manchester utd

wayne rooneyambave ni mshambuliaji machachari katika timu ya manchester utd,amepata tuzo ya mchezaji bora wa kulipwa msimu huu,hii ni baada ya kufunga magoli 34 hadi sasa katika mechi za kimashindano,amewahidi mashabiki wa man utd na England mambo mazuri zaidi
   Na katika mechi ya leo dhidi ya sunderland anatarajia kurudi uwanjani pamoja na beki Rio ferdinand.