Saturday, May 1, 2010

unaikumbuka hii historia ya mashetani wekundu

hii ni mwaka 1999 mashetani wekundu wakinyanyuka na kikombe baada ya ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya bavarians au fc bayern munchen...hapa ni katika mitaa ya manchester.

J.martins awapoteza vibaya rock city

huyu ni j martins akipiga show katika ukumbi wa kisasa kabisa jijini mwanza unaitwa villa park..alisindikizwa na AY.

EMINEM - DROP THE BOMB ON'EM - NEW EXCLUSIVE EMINEM - RELAPSE 2 LEAK

kanumba iz hot jo!

huyu jamaa kiukweli anaweza kufanya kila aina ya film,ni mmoja kati  ya wana-mapinduzi wa film industry in bongo..ameigiza katika  mlolongo mreru wa movie ambazo zimempa umaarufu nje na ndani ya nchi...hey bra kiukweli nakupa salute uendelee kutupa mavitu kama hayo...muchwweeeeena..!!

EMINEM - DROP THE BOMB ON'EM - NEW EXCLUSIVE EMINEM - RELAPSE 2 LEAK

Jadakiss - Who's Real ft. Swizz Beatz, OJ Da Juiceman

Dondoka na album ya buster rhymes

Hebu dondoka na album ya mwana HIPHOP buster rhymes inayokwenda kwa jina la back on my bussiness ambayo inapatikana katika sehemu zote zinazouza album,ni kali na tamu saaana so if u live in HIHOP u ll' truelly find it guyz...!

The stone club yafungwa

klabu ambayo ni moja kati ya zinazokimbiza jijini mwanza ya the stone club imefungwa kwa muda usiojulikana kwa marekebisho ya kuboresha club hiyo...so wajanja wa town waliopo katika jiji la mwanza tucheki na night club zingine wakati tukisubiri The stone club ireeje...!

Flo-Rida ft. T-Pain - Zoosk Girl [OFFICIAL HD VIDEO]

hiki ni kitu cha fainali za world cup

huu ni uwanja wa coca cola uliojengwa kwa msaada wa kampuni ya vinywaji baridi,uwanja huu umejengwa kiasilia zaidi ni mfano wa chungu na upo katika jiji la johannesburg..utatumika kwa mechi za fainali na mechi ya ufunguzi tuu...kama vp tujichange ili nasi tupande pipa hadi kwa madiba kucheki world cup..!