Friday, April 16, 2010

JUMA NATURE AUNDA CREW YAKE UPYA..

yule mkali wa mashairi kutoka kwa wale wakali wanaume walio halisi juma kassim kiroboto ameamua kulipangua chama lake hilo na kubakiza wasanii watano tu.hiyo ni baada ya kupata mdhamini ambayo ni kampuni inayoitwa DCL yenye makao yake nchini china.kampuni hiyo itahusika na kutafuta shows na matamasha mbalimbali nje na ndani ya nchi.wasani waliobaki ni pamoja na wafuatao.
1.JUMA NATURE
2.BABA LEVO
3.KG SON
4.DOLLO
5.JB wa MABAGA FRESH

No comments: