Saturday, October 23, 2010

ALICIA KEYZ APATA MTOTO WA KIUME

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Alicia Keys amejifungua mtoto wa kiume..mwanamuziki huyo kwa sasa anatoka na mtayarishaji na mwanamuziki  Swizz Beatz baada ya kuachana na aliyekuwa mkewe Mashonda...

MWISHO KARIBU TENA HOME

Jamaa anaitwa mwisho mwampamba,,ni mshiriki wa big brother all star 2010..alifika hadi katika tano bora lakini akatoka na UTI kutuka Nigeria akaondoka na mpunga mrefu kutoka kwa waandaaji....picha ina muonyesha akiwa uwanja wa ndege wa mwl j.k nyerere Dar es saalam akipokewa na ndugu jamaa na marafiki zakeee...HONGERAAAA BROO...kwa kuitangaza nchi yetu...!11

ALIKIBA KUPIGA SHOW ZA NJE

Jamaa ni mkilii vibaya katika muziki wa kibongo...anafanya vizuri hadi nje,  na kwa sasa ana program yake ya kwenda kufanya show nje ya bara la Africa...