Alexander Buttner beki mpyaaa aliyesajiliwa na Manchester united ya England kutoka Vittese ya ligi kuu ya Uholanzi anaweza kuanza rasmi kuiwakilisha timu yake hiyo mpyaa watakapoivaa wigan athletic.. hii ni baada ya kocha wa timu hiyo ya old trafford kusema kuwa beki wake wa kushoto,Patrice Evra kacheza mechi nyingi na ni vizuri kupata mbadala wa kumpumzisha katika msimu huu..
Friday, September 14, 2012
ROBIN VAN PERSIE NA SHINJI KAGAWA RASMI KUWAVAA WIGAN
Robin Van Persie
Shinji Kagawa
Kocha wa timu ya manchester united, Sir Alex Ferguson amesema kuwa wachezaji shinji kagawa na robin van persie ambao walikuwa majeruhi wakiwa wanawakilisha mataifa yao katika michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia 2014 nchini Brazil,wako tayari kuwavaa Wigan athletic hapo kesho katika mtanange wa ligi kuu ya England...

Subscribe to:
Posts (Atom)