Saturday, November 6, 2010
ALLY MURSALINA APATA SHAVU...
Jamaa ni kiongozi pale big level entertainment,anapiga mzigo kama mmoja wa waanzilishi wa group hiyo na mpaka sasa anapiga mzigo hapo...keep it up brraada....
RICK ROSS AONGEZEKA UNENE...??????
Jamaa anaitwa RICK ROSS au THE TEFFLON DON ,,,picha za karibuni zinamuonesha akiwa kaongezeka unene saana...katika picha yuko na jay z akila bata huku akivuta mkanda....
SUGU MPANGO MZIMA PALE MJENGONI
joseph mbilinyi a.k.a mr 2,,sugu amechaguliwa na wananchi wa jimbo la mbeya mjini kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha miaka 5 ijayo...jamaa kawataka wana mbeya kuwa kitu kimoja katika kuleta maendeleo jijini mbeya,, hongera SUGU..
DIAMOND APATA SHAVU JIPYA..
kijana anayesumbua hapa town kwa song zake nzuri Nassibu Abdull a.k.a diamond amechaguliwa katika tuzo za mtv africa music awards( MAMA)..katika category ya best upcoming act...so tuendelee kumuombea na ku-vote jwa huyu jamaa..kwa sasa yuko uingereza kwa ajili ya michakato ya kimuziki..
RAMA DEE AACHIA KITU KINGINE
Msanii ambaye ni KING of R n B hapa bongo Rama dee ameachia ngoma yake mpyaa inaitwa MAKE UP...katika ngoma hii kuna vichwa kama G NAKO na PIPI ...HII NI BONGE MOJA LA NGOMA KUTOKA KWA RAMA DEE...
Subscribe to:
Posts (Atom)