Friday, September 14, 2012

ALEXANDER BUTTNER RASMI KUIWAKILISHA MANCHESTER UNITED KWA MARA YA KWANZA.

Alexander Buttner beki mpyaaa aliyesajiliwa na Manchester united ya England kutoka Vittese ya ligi kuu ya Uholanzi anaweza kuanza rasmi kuiwakilisha timu yake hiyo mpyaa watakapoivaa wigan athletic.. hii ni baada ya kocha wa timu hiyo ya old trafford kusema kuwa beki wake wa kushoto,Patrice Evra kacheza mechi nyingi na ni vizuri kupata mbadala wa kumpumzisha katika msimu huu..

ROBIN VAN PERSIE NA SHINJI KAGAWA RASMI KUWAVAA WIGAN

                                                                   Robin Van Persie
                                                                      Shinji Kagawa
Kocha wa timu ya manchester united, Sir Alex Ferguson amesema kuwa wachezaji shinji kagawa na robin van persie ambao walikuwa majeruhi wakiwa wanawakilisha mataifa yao  katika michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia 2014 nchini Brazil,wako tayari kuwavaa Wigan athletic hapo kesho katika mtanange wa ligi kuu ya England...

AUNT EZEKIEL ASASAMBUA NA KUACHA MAUMBILE YAKE NYETI HADHARANI...

Huyu ni muigizaji wa Bongo movie ,Aunt ezekiel akisasambua mauno katika show ya fiesta mwanza katika viwanja vya ccm kirumba.. aliongozana na Steven Nyerere,Jacob Steven,Raymond Kigosi na Wema sepetu...

Ommy Dimpoz - Baadae (Official Video HD). cheki na making ya video ommy dimpoz hukoo bondeni..