Friday, April 23, 2010

Liverpool chaliii ...!

ebana wale mashabiki wa Liverpool" THE REDS" wameumia kw usiku wa jana soon baada mshambuliaji galacha kutoka timu ya Atletico d'madrid ya spain kufunga goli katika nusu fainali ya kwanza iliyochezwa katika jiji la madrid,spain kupitia kwa Diego Forlan..mashabiki wanaoaminika kuwa na mzuka wa Liverpool wanasikitishwa na mwenendo mbovu wa timu hiyolakini manager wa timu hiyo Rafael Benitez amewaambia watulie kwani Liverpool ni timu bora na watatinga katika hatua inayofuata.

No comments: