Friday, April 23, 2010

MSAALA MZITO KWA ROMA

mkaka anayekimbiza katika game na ji-songi lake la mr.president anyekwenda kwa jina la rythm of magical attraction(ROMA) kutoka katika jiji la Tanga,amekumbwa na mkasa wa kiukweli hadi kufikishwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi..
 jamaa anatuhumiwa kupita na LAPTOP ya mshikaji wake ambaye anapiga shule katika chuo kikuu cha Dar es saalam,
 lakini roma amekanusha tuhuma hizo na kudai kuwa yeye hana tabia kama hizo coz amelelewa katika mazingira yenye tabia pooa...hope utaumaliza msala bra na uendelee kusanua na ma-songi mengine kama hayo .......!

No comments: