Monday, March 29, 2010

Ebana niaaaaaaje watanzaaaania....!!!!

niaaaaje wana wa Tanzania,,kama kawa kama dawa tumegeuka na ma-monday..wana wanagonga mzigo hadi noma...ebana hizi c tyme za kulala..ni kusaka maheeeeeela mwanzo mwisho...NIMESOMEEEEKA...!!

Saturday, March 27, 2010

AKON APIGWA MARUFUKU SRI-LANKA

msanii wa kiukweli mzaliwa wa senegal AKON,ilikuwa agonge bonge 1 la show la kijanja..mamia ya wananchii wameandamana kupinga ujio huo baada ya kuona ngoma ya SEX BITCH david guetta ambayo AKON ameshirikishwa...jamaa wanadai akon ameikashifu dini ya budha baada ya kuona mwanamke akicheza mbele ya sanamu ya budha.....!

KILI MUSIC AWARDS hiyoooo yaja watanzania...!

ebana mmeshainyaka inshu ya KILI MUSIC AWARDS 2009-2010....muda si mrefu nitawadondoshea wajanja wa town ili nanyi kwa pamoko tuweze kulisongesha gurudumu la muziki wa TANZANIA na AFRICA world wide,kwa isuue in detailz cheki na dullah ktk WWW.MPANGOMZIMA.BLOGSPOT.COM...kama mzuuuuka sema WAWIWO

EBANA NIAJE WATOTO WA TOWN.....!

kama kawa kama dawa sana 2 ndani ya libeneke la kijafanja na mwana mapinduzi kutoka town...wale wote ambao tyme hiii wametupia SWAGGA then zika blink on...together we rock it & lets run this town lyke BOOOOOM...!!!!