Friday, April 30, 2010

barca yahaha kuitoa inter milan

mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-0 kwa barcelona kushinda katika uwanja wake wa nyumbani wa nou-camp umetosha kumvusha jose mourinho na kikosi chake hadi hatua ya fainali watakapocheza na fc bayern munchen ya ujerumani hiyo ni baada ya mechi ya awali inter milin kushinda kwa mabao 3-0 katika  uwanja wa giussepe meazza..!

Beckham kupewa lyrics na Snoop doggy

yule mkali wa mashairi katika muziki aina ya gangstar HIPHOP ameamua kumpa shavu nene kijana ambaye anasukuma ndinga katika timu ya Los angeles galaxy lakini sasa yuko kwa mkopo katika timu ya Ac millan ya italia David Beckham kwa kumwambia atamsaidia kutunga mashairi pale ambapo Becks atahitaji kuanza kutunga mashairi..snoop ameyasema hayo wakati wakitengeneza tangazo la adidas...
ebana wabongo sasa hivi ni kama mbeleeeee...,.i mean mtoni kwa mjomba obama,yaani watu wana ji-burst na ma-tatto kila kona ya mwili as u can see hawa jamaa ni wa-tanzania waliojichora tatoo katika sehemu mbalimbali za miili yao..kama ndizo swagga zenyewe mpango mzima ni full wazeeeeeya..!