Friday, April 30, 2010

Beckham kupewa lyrics na Snoop doggy

yule mkali wa mashairi katika muziki aina ya gangstar HIPHOP ameamua kumpa shavu nene kijana ambaye anasukuma ndinga katika timu ya Los angeles galaxy lakini sasa yuko kwa mkopo katika timu ya Ac millan ya italia David Beckham kwa kumwambia atamsaidia kutunga mashairi pale ambapo Becks atahitaji kuanza kutunga mashairi..snoop ameyasema hayo wakati wakitengeneza tangazo la adidas...

No comments: