Wednesday, April 14, 2010

NAKAAYA AJITOSA KATIKA POLTICS.....

mwanadafada nakaaya sumari ameamua kufanya kweli kabisa baada ya kujitosa kwenye siasa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA).mwanadada huyo aliwahi kutamba na kibao chake kikali kilichojulikana kama mr.politician..ebana karibu saana mwanadada katika libeneke hili la siasa,ila usiwe kama yule mr.politian uliye muimba katika ji-songi lako.

No comments: