Friday, April 16, 2010

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS

watanzania ile inshu yetu ya kuwatuza wasanii waliofanya pooa kwa kipindi chote cha mwaka 2009/2010 wanapata tuzo na mzigo utagongwa katika maeneo ya diamond jubillee na wasani watakao perform ni pamoja na wasanii wa ki-bongo wakipewa shavu nene na mwanamuziki kutoka maitaa ile kingstone-JAMAICA anayeitwa sean kingstone..so kee on voting 4ur favouritis artist through phones & e-mail...

Ebana niaaaaaaje watanzaaaania....!!!!


                                                                            martin

JUMA NATURE AUNDA CREW YAKE UPYA..

yule mkali wa mashairi kutoka kwa wale wakali wanaume walio halisi juma kassim kiroboto ameamua kulipangua chama lake hilo na kubakiza wasanii watano tu.hiyo ni baada ya kupata mdhamini ambayo ni kampuni inayoitwa DCL yenye makao yake nchini china.kampuni hiyo itahusika na kutafuta shows na matamasha mbalimbali nje na ndani ya nchi.wasani waliobaki ni pamoja na wafuatao.
1.JUMA NATURE
2.BABA LEVO
3.KG SON
4.DOLLO
5.JB wa MABAGA FRESH

MGODI WA GEITA WAFANYA MAMBO TENA

mgodi wa machimbo ya dhahabu wa GEITA GOLD MINE(G.G.M) umeua jumla ya wachimbaji wadogo wapatao 8.