Tuesday, May 11, 2010

mtoto wa mbagala anavyokimbiza

kijana anaitwa diamond anakimbiza na ji-song lake kwa jina la mbagala....ebana kijana kalalamika vi-deadly katika song hilo..na video kasha kamilisha na inafanya vizuri sokoni...

hii ni silaha ya hatari jo..!

hii ni silaha ya hatari coz it looks like simu lakini jamaa wameiunda kwa ajili ya kujilinda na maharamia huko hungary...i thought some dayz even Tanzania itafika katika level hizo za kutengeneza vitu kutokana na technology mbalimbali...

unacheki anga kwa down


unacheki anga inavyopendeza ukiwa angani ..kama vipi kwa wale wajanja wa town tuwe na dream za kukwea pipaone day jo..!!

chelsea fc ndio mabingwa wa baclays premier league