Sunday, October 24, 2010


I made this widget at MyFlashFetish.com.


Tue, 30 March, 2010 1:57:15
ETI NI KWELI WAYNE ANAUZA TIKETI KULIKO JIGGER(jay z)
...
From:
martin maranja   
...
Add to Contacts
To:martin maranja

ETI NI KWELI LIL WAYNE ANAUZA TICKET KULIKO JAY Z..

According to sources, Wayne ameuza zaidi ya 40 million on concerts alone.
Wayne grossed 42 million dollars in revenue from concert sales, outselling the Jay-Z and Mary J Blige Tour which grossed 34 million:
Kutoka kwa Producer wa Wayne wa Tour anaefahamika kama Shawn Gee, seventy-eight concerts held in North America from Dec. 14, 2008, through Sept. 6, 2009, grossed approximately $42 million and drew nearly 804,000 fans.
The second highest-grossing rap tour that Billboard has tracked was Jay-Z’s 2008 jaunt with Mary J. Blige, which grossed $34.6 million and drew 310,694 concertgoers to 28 shows, according to Billboard Boxscore. Kanye West’s 2008 Glow In the Dark tour comes in third, having pulled in $30.8 million from 49 concerts that attracted 507,853 fans.

so licha ya kuwa weezy anasemwa vibaya ila anauza na anawapenzi wengi kuliko Jay Z !!
at 9:38 AM

Saturday, October 23, 2010

ALICIA KEYZ APATA MTOTO WA KIUME

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Alicia Keys amejifungua mtoto wa kiume..mwanamuziki huyo kwa sasa anatoka na mtayarishaji na mwanamuziki  Swizz Beatz baada ya kuachana na aliyekuwa mkewe Mashonda...

MWISHO KARIBU TENA HOME

Jamaa anaitwa mwisho mwampamba,,ni mshiriki wa big brother all star 2010..alifika hadi katika tano bora lakini akatoka na UTI kutuka Nigeria akaondoka na mpunga mrefu kutoka kwa waandaaji....picha ina muonyesha akiwa uwanja wa ndege wa mwl j.k nyerere Dar es saalam akipokewa na ndugu jamaa na marafiki zakeee...HONGERAAAA BROO...kwa kuitangaza nchi yetu...!11

ALIKIBA KUPIGA SHOW ZA NJE

Jamaa ni mkilii vibaya katika muziki wa kibongo...anafanya vizuri hadi nje,  na kwa sasa ana program yake ya kwenda kufanya show nje ya bara la Africa...

Thursday, October 21, 2010

mdogo wangu wa ukweliiiiii.....from specialll zonee......

                                                                paul mau steven
                                                                    eka na maingu...      

EMINEM AFUNIKA KATIKA CATEGORY KIBAO- VMA

EMINEM amechaguliwa katika category 5 za tuzo za muziki za mtv mwaka wa 2010...pia kuna lady gaga,kanye wet,black eyed peas na wasanii kibao...stay na wajanja 4 more info...

Whip My Hair REMIX Ft. Drake, Lil Wayne, Nicki Minaj (DJ SKIDMARC REMIX)

DR.WILBROAD PETER SLAA AENDELEA KUWASHIKA

                                                             SINGIDA
                                                                MWANZA
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA DR.wilbroad peter slaa,ameendelea na kampeni zake katika sehemu mbalimbali nchini na kupata mapokezi mazuri....                                                    

JK AUNGURUMISHA LINDI

                   Mgombea urais kwa tiketi ya c.c.m jana alifunika vibaya baada ya kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi wa lindi mjini....

MKALI JOH MAKINI

                                                                            
                  Mcheki katika muonekano mpya huyu jamaa...anaonekana ni real HIPHOP artist...

C PWAA AKAMILISHA VIDEO YAKE YA ACTION





                                                                       
                                                            cow-obama a.k.a ngwair
                                                                   cp na dully sykes
         hizi ni baadhi ya shoots katika video mpya ya c pwaa inaitwa action

Wednesday, October 20, 2010

CHAMELEON NA WAKAZI SHOW IN CHICAGO

CHAMELEON NA WAKAZI SHOW IN CHICAGO: "Dr Jose Chameleone will be rocking the people of Chicago on the Saturday of October 23rd at the Wild Hare Nightclub. Coming from his Canadia..."
                                                     huu ndio mkoko anaoutumia          
                                                       wakazi na jose wata wa rock vibaya..
                                                                                                      

WILLOW SMITH ALIA KATIKA KIPINDI CHA 106& PARK

WILLOW SMITH ALIA KATIKA KIPINDI CHA 106& PARK: "It was a family affair kwa smiths nje ya studio za BET. Will na Jada wakimsindikiza Willow Smith kurecord kipindi cha 106 & park ambapo ali..."                                      

                                                                           

MR 2 APOTEZA VIBAYA MBEYA

Mgombea ubunge jimbo la mbeya mjini kwa tiketi ya chadema,Joseph Mbilinyi a.k.a mr 2 amefanya mkutano wake wa kampeni katika soko la mwanjelwa na kukusanya umati mkubwa wa watu....jamaa ameonekana kupendeka na idadi kubwa ya wananchi wa mbeya mjini.

MNYIKA AFUNIKA VIBAYA SINZA

Mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema john mnyika,akihutubia mkutano wa kampeni za ubunge katika jimbo la ubungo jijini Dar es saalam..

AY NA SEAN KINGSTONE KUFANYA COLLABO

Msanii mwenye crown bongo Ambwene Yessaya a.k.a AY yuko nchini kenya kwa ajili ya kupiga show na pia kujianda na safari ya mtoni kufanya collabo na jamaa mkali anaitwa sea kingstone