Friday, September 14, 2012

ROBIN VAN PERSIE NA SHINJI KAGAWA RASMI KUWAVAA WIGAN

                                                                   Robin Van Persie
                                                                      Shinji Kagawa
Kocha wa timu ya manchester united, Sir Alex Ferguson amesema kuwa wachezaji shinji kagawa na robin van persie ambao walikuwa majeruhi wakiwa wanawakilisha mataifa yao  katika michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia 2014 nchini Brazil,wako tayari kuwavaa Wigan athletic hapo kesho katika mtanange wa ligi kuu ya England...

No comments: