Wednesday, April 14, 2010

KAT DELUNA KUACHIA NGOMA



mwanadadafada kat deluna kutoka katika label ya motown universal anatarajia kuachia ngoma ifikapo mwezi wa nne..hayo yamesemwa na viongozi kutoka katika label hiyo....!

fid q adondosha album

ebana hebu cheki na album ya fid q inayoitwa PROPAGANDA...ni kali ile mbaya wana..

BOB MARLEY DAY INAJONGEA...!


ile siku ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa katika kumuenzi yule REGGAE LEGENDS inawadia..marasta na wale mashabiki wake wana desturi ya kumuenzi BOB NESTA MARLEY kila wanapokumbuka tyme yake ya kufa..so let's roll together katika siku hiyo bana.

NAKAAYA AJITOSA KATIKA POLTICS.....

mwanadafada nakaaya sumari ameamua kufanya kweli kabisa baada ya kujitosa kwenye siasa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA).mwanadada huyo aliwahi kutamba na kibao chake kikali kilichojulikana kama mr.politician..ebana karibu saana mwanadada katika libeneke hili la siasa,ila usiwe kama yule mr.politian uliye muimba katika ji-songi lako.

mashetani wekunduuu wamekaa..!!

ebana mashabiki wenzangu wa MANCHESTER UNITED    poleni saana kwani STILL we are the champs....so far tumetolewa lakini tumelazimishwa kutoka na vibonde bayern munchen...msimu ujao ni wa moto kwa ma-haters wooote....& man utd fans dont give up bana...together we win.