Wednesday, May 12, 2010

Ronaldinho out Brazil

kikosi cha brazil kimetangazwa huku jina la mchezaji bora wa dunia mwaka 2006 Ronaldinho Gaucho likikosekana

TID adai kupigwa na Hasheem

The most celebrity in bongo H asheem Thabit, jamaa inasemekana kampa nakoz kijana wa Dar es saalam Tid...hiyo ni kwa mujibu wa BLOG yake TID mwenyewe..so ili kujiua zaidi mcheki TID kupitia site yake ya www.topbandtz.blogspot.com.

1. AY. 2. Fid Q. 3. Joh Makini. 4. Marlow. 5. African Stars – Twanga Pepeta. 6. Mwansiti. 7. Lady Jaydee. 8. Mzee Yusuph na Offside Trick 9. Wahapahapa 10. Ali Kiba

sean kingstone kukisanua katika killi awards

sean kingstone ndiye msanii atakayesababisha burudani ya kutosha kwa  watanzania ambao watahudhuria sherehe za utoaji wa tuzo za kilimanjaro music awards,kiingilio kwa tiketi za awali ni sh 15000 za kitanzania.

50 Cent - So Disrespectful

Ludacris - My Chick Bad ft. Nicki Minaj

Nas ft Damian Marley - As We Enter (Lyrics + Download) NOT BLOCKED

Tuesday, May 11, 2010

mtoto wa mbagala anavyokimbiza

kijana anaitwa diamond anakimbiza na ji-song lake kwa jina la mbagala....ebana kijana kalalamika vi-deadly katika song hilo..na video kasha kamilisha na inafanya vizuri sokoni...

hii ni silaha ya hatari jo..!

hii ni silaha ya hatari coz it looks like simu lakini jamaa wameiunda kwa ajili ya kujilinda na maharamia huko hungary...i thought some dayz even Tanzania itafika katika level hizo za kutengeneza vitu kutokana na technology mbalimbali...

unacheki anga kwa down


unacheki anga inavyopendeza ukiwa angani ..kama vipi kwa wale wajanja wa town tuwe na dream za kukwea pipaone day jo..!!

chelsea fc ndio mabingwa wa baclays premier league

Monday, May 10, 2010

The last king of nyaluland-mike T

huyu jamaa ni kati wa maemc wa kiukweli katika game ya muziki wa kibongo...soon anadrop na jiwe linakwenda kwa jina la TJIIBE TUKIWEZA ameligongesha katika studio za B/Hitz & my key....ebana hebu tumpe sapoti ya ukweli THE LAST KING OF NYALULAND.

wanaume TMK wadrop Kenya

jamaa wa Temeke wame-drop nchini kenya ka matamasha matatu ya kiukweli ambayo wamepanga kuweka heshima kwa mashabiki wa kundi hilo kutoka nchini kenya...kundi hilo lina wasanii wanaofanya vizuri kunako game ya bongo flavour...mkono mmoja ya Chegge na Temba pamoja na mambo bado aliyoimba Chegge na laddy jay dee...

mkali kwanza arudi studio

jamaa anaitwa q-jay kutoka kwa wakali kwanza na siku si nyingi ameingiza kitu(wife) ndani...so jamaa ameamua ku-drop studio za mj records zilizoko masaki kwa ajili ya ku-record ngoma kwa jina la NAKUBAMBA chini ya prodyuza marco chaliii..so soon unadrop down na mkali kwanza huyooo.

Nas ft. Damian Marley - As We Are (Snippet) | Audio | Rap Basement

Nas ft. Damian Marley - As We Are (Snippet) | Audio | Rap Basement
ebana sorry 4 missing out the massive story from our site...tulikuwa out kwa matengenezo bt tume-back kwa fujo zote wazeeeeya...i think u guyz gonna enjoy coz site imeboreshwa na kuna hot news ambazo soon tutaza kuzidrop..kama niaje cheki na ngoma hiyo hapo ya Nas ft.Damian marley-As we ar....Enjooooy...!

Sunday, May 2, 2010

TAIFA STARS YABANWA NA AMAVUBI

                                                                       
timu za Tanzania na Rwanda zimetoka sare ya kufungana 1-1 katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kushiriki katika mashindano ya CHAN

AY na FA waachia ngoma nyingine

wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Hamisi mwinjuma(FA) na Ambwene Yessaya(Ay) wameachia ngoma inayokwenda kwa jina la usije mjini..wame record kwa hermy B chini ya studio ya B.hitz record..so kama ni fans unaweza kutega sikio ili uipate ngoma hiyo..

Poll: nani mkali kati ya fid q na joh makini

Poll: nanu mkali kati ya juma nature na chegge

ROCK CITY IS ROOOOCKING

jijini mwanza a.k.a rock city abapo panasemekana kuwa ni miongoni mwa miji misafi zaidi nchini Tanzania...kama haujawahi kufika fanya mpango ufike uone fahari ya nci yako.

dondoka langa mtaani

Langa kileo ni mwanamuziki wa HIPHOP bongo na moja kati ya wasanii wa kiukweli..ana masongi kibao mtaani na sasa anakimbiza na song la gangster abalo liko hot vide-deadly,,soon amedondoka na song linalokwenda kwa jina la pesa akimpa shavu bi-dada jay dee..na sasa amendondoka na album mtaani chini ya label yake ya kitaa entertainment..!

flowers wa kibongo ni wa ukweli

mwanadafada huyu ni mmoja kati ya contestant wa miss universe 2010.so would ever thought of having beautifully ladies in our country like that one...thanks God...!!

rooney awahidi mema mashabiki wa manchester utd

wayne rooneyambave ni mshambuliaji machachari katika timu ya manchester utd,amepata tuzo ya mchezaji bora wa kulipwa msimu huu,hii ni baada ya kufunga magoli 34 hadi sasa katika mechi za kimashindano,amewahidi mashabiki wa man utd na England mambo mazuri zaidi
   Na katika mechi ya leo dhidi ya sunderland anatarajia kurudi uwanjani pamoja na beki Rio ferdinand.

Saturday, May 1, 2010

unaikumbuka hii historia ya mashetani wekundu

hii ni mwaka 1999 mashetani wekundu wakinyanyuka na kikombe baada ya ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya bavarians au fc bayern munchen...hapa ni katika mitaa ya manchester.

J.martins awapoteza vibaya rock city

huyu ni j martins akipiga show katika ukumbi wa kisasa kabisa jijini mwanza unaitwa villa park..alisindikizwa na AY.

EMINEM - DROP THE BOMB ON'EM - NEW EXCLUSIVE EMINEM - RELAPSE 2 LEAK

kanumba iz hot jo!

huyu jamaa kiukweli anaweza kufanya kila aina ya film,ni mmoja kati  ya wana-mapinduzi wa film industry in bongo..ameigiza katika  mlolongo mreru wa movie ambazo zimempa umaarufu nje na ndani ya nchi...hey bra kiukweli nakupa salute uendelee kutupa mavitu kama hayo...muchwweeeeena..!!

EMINEM - DROP THE BOMB ON'EM - NEW EXCLUSIVE EMINEM - RELAPSE 2 LEAK

Jadakiss - Who's Real ft. Swizz Beatz, OJ Da Juiceman

Dondoka na album ya buster rhymes

Hebu dondoka na album ya mwana HIPHOP buster rhymes inayokwenda kwa jina la back on my bussiness ambayo inapatikana katika sehemu zote zinazouza album,ni kali na tamu saaana so if u live in HIHOP u ll' truelly find it guyz...!

The stone club yafungwa

klabu ambayo ni moja kati ya zinazokimbiza jijini mwanza ya the stone club imefungwa kwa muda usiojulikana kwa marekebisho ya kuboresha club hiyo...so wajanja wa town waliopo katika jiji la mwanza tucheki na night club zingine wakati tukisubiri The stone club ireeje...!

Flo-Rida ft. T-Pain - Zoosk Girl [OFFICIAL HD VIDEO]

hiki ni kitu cha fainali za world cup

huu ni uwanja wa coca cola uliojengwa kwa msaada wa kampuni ya vinywaji baridi,uwanja huu umejengwa kiasilia zaidi ni mfano wa chungu na upo katika jiji la johannesburg..utatumika kwa mechi za fainali na mechi ya ufunguzi tuu...kama vp tujichange ili nasi tupande pipa hadi kwa madiba kucheki world cup..!