Thursday, April 15, 2010

WATEJA WA VODACOM KUONGEA KWA SHILINGI 1

wateja wa vodacom sasa watapata fursa ya kuongea kwa nusu shilingi tu.hayo yamesemwa na mkurugenzi wa mahusiano na mawasiliano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya habari ndiyo hiyo ya kuongea kwa shillingi 1 kwa sekunde kwa wateja wa vodacom.

TID AWAKIMBIZA VIBAYA DUBLIN

ebana huyu jamaa kwa sasa yuko busy na shows za nje.England,Ireland na pande zingine kama hizo.hapa alikuwa Dublin akifanya mambo,kama vipi keep on rollin' with wajanja site 4 more issue & detailz.