Saturday, May 1, 2010

hiki ni kitu cha fainali za world cup

huu ni uwanja wa coca cola uliojengwa kwa msaada wa kampuni ya vinywaji baridi,uwanja huu umejengwa kiasilia zaidi ni mfano wa chungu na upo katika jiji la johannesburg..utatumika kwa mechi za fainali na mechi ya ufunguzi tuu...kama vp tujichange ili nasi tupande pipa hadi kwa madiba kucheki world cup..!

No comments: