Sunday, May 2, 2010

rooney awahidi mema mashabiki wa manchester utd

wayne rooneyambave ni mshambuliaji machachari katika timu ya manchester utd,amepata tuzo ya mchezaji bora wa kulipwa msimu huu,hii ni baada ya kufunga magoli 34 hadi sasa katika mechi za kimashindano,amewahidi mashabiki wa man utd na England mambo mazuri zaidi
   Na katika mechi ya leo dhidi ya sunderland anatarajia kurudi uwanjani pamoja na beki Rio ferdinand.

No comments: