Saturday, March 27, 2010

AKON APIGWA MARUFUKU SRI-LANKA

msanii wa kiukweli mzaliwa wa senegal AKON,ilikuwa agonge bonge 1 la show la kijanja..mamia ya wananchii wameandamana kupinga ujio huo baada ya kuona ngoma ya SEX BITCH david guetta ambayo AKON ameshirikishwa...jamaa wanadai akon ameikashifu dini ya budha baada ya kuona mwanamke akicheza mbele ya sanamu ya budha.....!

No comments: